Naweza sema kwamba Tanzania ina mtazamo mpya juu ya chanjo ya Covid-19, ni baada ya Rais wa Tanzania Mama Samiha Suluhu, kuunda kamati ya uchunguzi juu ya ugonjwa huu hatari.
Ripoti itakuja miezi mitatu baadae baada ya uchanganuzi juu ya hali ya covid-19 nchini Tanzania, hii ni baada ya maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania.
ripoti itaonyesha ni namna gani tanzania inaweza kupambana na ugonjwa huu hatari.
Comments
Post a Comment